KILIMO CHA MATUFAA (APPLE) MAKETE DC

Hapa ni shambani kwa mkulima anayezalisha matunda aina ya apples yanayokubali hali ya hewa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Makete. msimu wa uvunaji huanza mwezi Disemba hadi mwezi Mei kila mwaka. Karibuni wawekezaji kwa kupata ardhi kwa ajili ya kuanzisha mashamba ya zao hili adimu sana. lengo ni kuepuka kununua nje tunapaswa kupenda vya kwetu kwanza. Karibu MAKETE MKOANI NJOMBE.