Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2017
Picha
MWALIMU WA MIRADI (kushoto) KATIKA SHULE YA SEKONDARI KIPAGALO AKIWA NA AFISA UGANI KATIKA BUSTANI YA MBOGAMBOGA YA SHULE. NI VYEMA KILA SHULE  IKAWA NA MIRADI YA KILIMO/MIFUGO MWALIMU MKUU S/M MAHULU (MWASANGA) AKIONESHA MRADI WA SHAMBA LA NGANO NA MICHE YA PARACHICHI NI VYEMA KILA SHULE YENYE ENEO IKAWA NA MIRADI KAMA HII 
Picha
NG'OMBE WA RANCHI YA KITULO MAKETE, PAMOJANA KWAMBA KUNA UHABA WA NYASI MIEZI HII YA NANE MPAKA MWEZI WA KUMI KAMA INAVYOONEKANA, NG'OMBE ANAYETOA MAZIWA KIDOGOP HUSTOA LITA NANE(8) KWA MKAMUO MMOJA NA HUKAMULIWA MARA MBILI KWA SIKU. ENEO LA KUKAMULIA (MILKING PARLOR) KITULO RANCH MAKETE
SIKU YA KICHAA CHA MBWA NI  28/09 KILA MWAKA HAKIKISHA UMECHANJA MBWA WAKO KILA MWAKA ILI KUEPUKA UGONJWAHATARI HUU.