Machapisho

KILIMO CHA MATUFAA (APPLE) MAKETE DC

Picha
Hapa ni shambani kwa mkulima anayezalisha matunda aina ya apples yanayokubali hali ya hewa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Makete. msimu wa uvunaji huanza mwezi Disemba hadi mwezi Mei kila mwaka. Karibuni wawekezaji kwa kupata ardhi kwa ajili ya kuanzisha mashamba ya zao hili adimu sana. lengo ni kuepuka kununua nje tunapaswa kupenda vya kwetu kwanza. Karibu MAKETE MKOANI NJOMBE.
Picha
MAZAO YA MISITU HAPA WILAYA YA KAZI MAKETE.  
Picha
BWAWA LA SAMAKI KATIKA KIJIJI CHA IPELELE KATA YA IPELELE HAPA WILAYA YA MAKETE.   PICHA HII IMEPIGWA JULAI 2019. BWANA BAKARI MMILIKI WA BWAWA LA SAMAKI KATIKA KATA YA IPELELE. NI VIGUMU KUAMINI KWAMBA SAMAKI AINA YA TILAPIA/SATO/PEREGE WANAWEZA KUSTAWI KATIKA MAENEO YA BARIDI KAMA ILIVYO HAPA WILAYANI MAKETE, LAKINI KUMBE INAWEZEKANA. HAPA NDUGU BAKARI AMESHAVUNA SAMAKI WENYE UZITO WA 0.7 HADI 1 KG BAADA YA KUKAA HAPA MIEZI SITA TU.
Picha
KATIKA KUTIMIZA MAJUKUMU NI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KWA MIFUGO YOTE. UWEKAJI ALAMA KWA MIFUGO HUSAIDIA KATIKA UTAMBUZI.
Picha
WANANCHI WA KIJIJI CHA KISASATU KATA YA MBALATSE WILAYA YA MAKETE WAKIPATA MAFUNZO YA HUDUMA ZA UGANI KATIKA MRADI WA UTUNZAJI ARDHI KATIKA UENDELEZAJI WA BONDE LA ZIWA NYASA (SLM).  MRADI HUU UPO KATIKA WILAYA YA MAKETE NA UPO KATIKA VIJIJI VITATU (KISASATU, UTENGULE NA UGABWA) TUTUNZE MAZINGIRA.
Picha
MKUU WA WILAYA YA MAKETE AKIKABIDHIWA MABATI ZAIDI A 160 KUTOKA NMB KATIKA KUCHANGUA UJENZI WA S/S ISAPULANO WILAYA YA MAKETE. PONGEZI KWA NMB MKUU WA WILAYA YA MAKETE AKIKABIDHIWA MABATI ZAIDI A 160 KUTOKA NMB KATIKA KUCHANGUA UJENZI WA S/S ISAPULANO WILAYA YA MAKETE. PONGEZI KWA NMB
Picha
MWALIMU WA MIRADI (kushoto) KATIKA SHULE YA SEKONDARI KIPAGALO AKIWA NA AFISA UGANI KATIKA BUSTANI YA MBOGAMBOGA YA SHULE. NI VYEMA KILA SHULE  IKAWA NA MIRADI YA KILIMO/MIFUGO MWALIMU MKUU S/M MAHULU (MWASANGA) AKIONESHA MRADI WA SHAMBA LA NGANO NA MICHE YA PARACHICHI NI VYEMA KILA SHULE YENYE ENEO IKAWA NA MIRADI KAMA HII 
Picha
NG'OMBE WA RANCHI YA KITULO MAKETE, PAMOJANA KWAMBA KUNA UHABA WA NYASI MIEZI HII YA NANE MPAKA MWEZI WA KUMI KAMA INAVYOONEKANA, NG'OMBE ANAYETOA MAZIWA KIDOGOP HUSTOA LITA NANE(8) KWA MKAMUO MMOJA NA HUKAMULIWA MARA MBILI KWA SIKU. ENEO LA KUKAMULIA (MILKING PARLOR) KITULO RANCH MAKETE
SIKU YA KICHAA CHA MBWA NI  28/09 KILA MWAKA HAKIKISHA UMECHANJA MBWA WAKO KILA MWAKA ILI KUEPUKA UGONJWAHATARI HUU.
Picha
Vikundi vya ujasiriamali na mikopo, SHANGWE VICOBA maeneo ya MAZIMBU MOROGORO. Pamoja na kushughulika katika huduma ya kibenki lakini wameweza kumhudumia mtoto yatima katika masomo yake. wanaweza hakika. Nikiwa pamoja nao katika kubadilishana nao utaamu kuhusu maendeleo ya kijamii na fursa katika kilimo na ufugaji. WANAKOPESHANA NA WANA MIRADI MBALIMBALI  IKIWA NI PAMOJA NA PIKIPIKI ZA BIASHARA 2 MFANO WA KUIGA.

maonesho ya zana za kilimo SUA

Picha
Picha mbali mbali zikimuonesha mheshimiwa Mizengo Pinda alipokuwa mgeni rasmi katika mkutano na maeonesho ya zana za kilimo katika chuo kmikuu cha kilimo Sokoine 27-28 February 2017.

KILIMO CHA KIBIASHARA

Farmers are advised to cultivate by following all agronomic practices.