
Vikundi vya ujasiriamali na mikopo, SHANGWE VICOBA maeneo ya MAZIMBU MOROGORO. Pamoja na kushughulika katika huduma ya kibenki lakini wameweza kumhudumia mtoto yatima katika masomo yake. wanaweza hakika. Nikiwa pamoja nao katika kubadilishana nao utaamu kuhusu maendeleo ya kijamii na fursa katika kilimo na ufugaji. WANAKOPESHANA NA WANA MIRADI MBALIMBALI IKIWA NI PAMOJA NA PIKIPIKI ZA BIASHARA 2 MFANO WA KUIGA.