Picha mbali mbali zikimuonesha mheshimiwa Mizengo Pinda alipokuwa mgeni rasmi katika mkutano na maeonesho ya zana za kilimo katika chuo kmikuu cha kilimo Sokoine 27-28 February 2017.
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Maoni
Machapisho maarufu kutoka blogu hii
-
NG'OMBE WA RANCHI YA KITULO MAKETE, PAMOJANA KWAMBA KUNA UHABA WA NYASI MIEZI HII YA NANE MPAKA MWEZI WA KUMI KAMA INAVYOONEKANA, NG'OMBE ANAYETOA MAZIWA KIDOGOP HUSTOA LITA NANE(8) KWA MKAMUO MMOJA NA HUKAMULIWA MARA MBILI KWA SIKU. ENEO LA KUKAMULIA (MILKING PARLOR) KITULO RANCH MAKETE
BWAWA LA SAMAKI KATIKA KIJIJI CHA IPELELE KATA YA IPELELE HAPA WILAYA YA MAKETE. PICHA HII IMEPIGWA JULAI 2019. BWANA BAKARI MMILIKI WA BWAWA LA SAMAKI KATIKA KATA YA IPELELE. NI VIGUMU KUAMINI KWAMBA SAMAKI AINA YA TILAPIA/SATO/PEREGE WANAWEZA KUSTAWI KATIKA MAENEO YA BARIDI KAMA ILIVYO HAPA WILAYANI MAKETE, LAKINI KUMBE INAWEZEKANA. HAPA NDUGU BAKARI AMESHAVUNA SAMAKI WENYE UZITO WA 0.7 HADI 1 KG BAADA YA KUKAA HAPA MIEZI SITA TU.
Maoni
Chapisha Maoni